@afyaradio

N.C.U yakabidhiwa akaunti yenye zaidi ya sh. bil 1

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda leo amewakabidhi rasmi uongozi wa chama cha Ushirika Nyanza (Nyanza Cooperative Union Limited) N.C.U akaunti Maalum maarufu kama ESCROW iliyo na zaidi ya shs bilioni 1 na kuwataka kufanya matumizi sahihi na yenye tija ya kuendeleza chama hicho. Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya […]

N.C.U yakabidhiwa akaunti yenye zaidi ya sh. bil 1 Read More »

Changamoto za wafanya biashara wa madini kutatuliwa

Serikali imeahidi kutoa kipaumbele kwenye changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa madini nchini, ili kuwezesha sekta hiyo kutoa mchango mkubwa kwa Taifa. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema hayo alipokutana na wafanyabiashara wa madini wa soko la madini Kahama, kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kuzitafutia ufumbuzi. “Mtakumbuka niliwahi kufika hapa Kahama kwa changamoto ya utoroshaji,

Changamoto za wafanya biashara wa madini kutatuliwa Read More »