Sonko Waziri mkuu Senegal

Rais mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemteua kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Osmane Sonko kuwa waziri mkuu ikiwa ni uteuzi wake wa kwanza kama rais. Akizungumza mara tu baada ya uteuzi wake, Sonko amesema atawasilisha orodha ya mawaziri anaowapendekeza kwa Rais Faye kwa ajili ya idhini yake. Waziri Mkuu huyo mpya, […]

Sonko Waziri mkuu Senegal Read More ยป