Wawili washikiliwa kwa utengenezaji silaha.

Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limekamata silaha tano na watuhumiwa wawili kwa kosa la kutengeneza na kumiliki silaha kinyume na sheria. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amesema mnamo tarehe 13/03/2024 maeneo ya Kitongoji cha Izagala, Kijiji cha Ntundu, Kata ya Busangi, Tarafa na Wilaya […]

Wawili washikiliwa kwa utengenezaji silaha. Read More ยป