Watanzania watakiwa kuuthamini Muungano

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akizungumza kabla ya kuzindua Nembo na kaulimbiu ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Jijini Dododma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea  kuulinda, kuuenzi, kujivunia na kuuthamini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Majaliwa, ameyabainisha leo jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa nembo na kaulimbiu ya miaka 60 […]

Watanzania watakiwa kuuthamini Muungano Read More »