Watu zaidi ya 400 wakosa makazi Morogoro

Watu zaidi ya 400 wanaoishi Kata za Viwanja Sitini, Kibaoni, Mbasa na Katindiuka, Halmashauri ya Ifakara Mji wilayani Kilombero, mkoani Morogoro wamekosa makazi baada ya nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo. Hayo yamesemwa leo Mei 6, 2024 na Mkuu wa wilaya ya Kilombero, Dustan Kyobya na […]

Watu zaidi ya 400 wakosa makazi Morogoro Read More ยป