Mawaziri watakiwa kujibu hoja ripoti ya CAG

Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka mawaziri kujibu hoja zilizoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Akizungumza leo leo katika hafla ya uapisho ya viongozi mbalimbali wateule, wakiwamo wakuu wa mikoa na manaibu Waziri Ikulu jijini Dar es Salaam Rais Daktari Samia Suluhu […]

Mawaziri watakiwa kujibu hoja ripoti ya CAG Read More ยป