Sekta ya afya kuvutia mataifa ya nje.

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema sekta ya afya imekua kwa kiwango kikubwa ndani ya miaka miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan kiasi cha kuvutia nchi nyingine nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kuja kutibiwa nchini ukilinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Waziri ummy amesema hayo katika Hafla inafanyika leo katika Ukumbi wa Mlimani […]

Sekta ya afya kuvutia mataifa ya nje. Read More ยป