Wananchi Watakiwa Kutoa Taarifa za Ukatili

Jeshi la polisi nchini limesema wananchi wamekuwa wakiitikia wito wa kutoa taarifa za ukatili katika vituo vya polisi kupitia elimu inayotolewa…

Hyo yameelezwa na kamishna wa polisi jamii CP Faustine Shilogile leo wakati akielezea Mafanikio yaliyopatikana katika kuzuia vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia.

CP Shilogile ameishukuru serikali Pamoja na wananchi kwa kuendelea kushirikiana na jeshi la polisi katika kutokomeza vitendi vya ukatili.

Aidha ametoa wito kwa wanajamii kuendelea kushirikiana na jeshi la polisi ili kutokomeza kabisa vitendo vya ukatili katika jamii..

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *