Watoto wakike wahimizwa kusoma fani ya Sheria.

Mazingira ya kusoma taaluma ya sheria nchini yanaruhusu na kumuwezesha mtoto wa kike kusoma fani hiyo

Hayo yamebainishwa na hakimu mkazi mahakama ya mwanzo Mwanza mjini Witnes Ndossi wakati akizungumza na afya radio ambapo amesema mtoto wa kike pia ana uwezo wakuwa hakimu iwapo ataweka bidii katika masomo yake.

Amesema fani hiyo si ya Watoto wa kiume pekee bali ni ya wote na inahitaji umakini Zaidi.

Nao baadhi ya wananchi wamesema mara nyingi fani hiyo imekuwa ikisomwa na vijana wa kiume hivyo walezi na wazazi wanatakiwa kuendelea kuwapa ushirikiano Zaidi watoto wakike.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *