MATUMIZI YA NISHATI SAFI KUPUNGUZA UKATILI

Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, unaanzia katika hitaji la mpango jumuishi wa taifa, kukabiliana na kongezeka uharibifu wa mazingira, athari za afya, kiuchumi na kijamii kutoka matumizi ya nishati isiyo safi kupikia.


Jitihada za Serikali ni utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Nishati ya Mwaka 2015 inayoielekeza Serikali kuchukua hatua madhubuti za kufanikisha matumizi ya nishati na vifaa sahihi vya kupikia.


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Umeme (EWURA), kwa kanda ya ziwa George Mhina anatueleza kuhusu mikakati iliyopo kuhamasisha matumizi ya nishati safi yatakayo hamasisha kupunguza vitendo vya ukatili hasa kwa wanawake, alizungumza na Amon Alfred.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *