MATUMIZI YA NISHATI SAFI KUPUNGUZA UKATILI
Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, unaanzia katika hitaji la mpango jumuishi wa taifa, kukabiliana na kongezeka uharibifu wa mazingira, athari za afya, kiuchumi na kijamii kutoka matumizi ya nishati isiyo safi kupikia. Jitihada za Serikali ni utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Nishati ya Mwaka 2015 inayoielekeza Serikali kuchukua hatua …