Eneless Mwinami

N.C.U yakabidhiwa akaunti yenye zaidi ya sh. bil 1

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda leo amewakabidhi rasmi uongozi wa chama cha Ushirika Nyanza (Nyanza Cooperative Union Limited) N.C.U akaunti Maalum maarufu kama ESCROW iliyo na zaidi ya shs bilioni 1 na kuwataka kufanya matumizi sahihi na yenye tija ya kuendeleza chama hicho. Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya […]

N.C.U yakabidhiwa akaunti yenye zaidi ya sh. bil 1 Read More »

Watanzania watakiwa kuuthamini Muungano

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akizungumza kabla ya kuzindua Nembo na kaulimbiu ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Jijini Dododma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea  kuulinda, kuuenzi, kujivunia na kuuthamini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Majaliwa, ameyabainisha leo jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa nembo na kaulimbiu ya miaka 60

Watanzania watakiwa kuuthamini Muungano Read More »

waziri mkuu kassim majalaiwa

Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii-Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii kiuchumi, kiteknolojia na kiutamaduni katika kuleta maendeleo ya nchi. Majaliwa amesema hayo leo wakati wa mkutano wa wadau wa Sekta ya Elimu mkoani Dodoma uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Biblia-TAG jijini Dodoma. Amesema kuwa utoaji wa elimu bora kwa Watanzania

Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii-Majaliwa Read More »

Wanafunzi wachapwa viboko 75, wakimbizwa hospitali.

Wanafunzi 12 katika shule ya  Sekondari Ipandikilo  Iliyopo Kata ya Ngoma B  Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza   wamedaiwa   kuchapwa viboko 75 na baadhi ya walimu wa shule hiyo kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi shuleni. Wakizungumzia tukio hilo baadhi ya wanafunzi wakiwa  katika kituo cha afya  Ngoma B  wamesema kuwa baada ya kutuhumiwa kujihusiha na mapenzi

Wanafunzi wachapwa viboko 75, wakimbizwa hospitali. Read More »

Uhusiano wa Tanzania na Ujerumani una tija kimaendeleo

Mkuu wa wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza Hassan Masala amesema uhusiano baina ya Ujerumani na Tanzania ulioanza tangu mwaka 1960 umekuwa na tija kutokana na kuwepo miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi. Masala amesema hayo leo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, akimpokea balozi wa Ujerumani Thomas Terstegen Amebainisha kuwa miradi iliyoletwa na

Uhusiano wa Tanzania na Ujerumani una tija kimaendeleo Read More »