Our Latest Blogs
The Featured Blog Posts
Watu zaidi ya 400 wakosa makazi Morogoro
Watu zaidi ya 400 wanaoishi Kata za Viwanja Sitini, Kibaoni, Mbasa na Katindiuka, Halmashauri ya Ifakara Mji wilayani Kilombero, mkoani Morogoro wamekosa makazi baada ya
N.C.U yakabidhiwa akaunti yenye zaidi ya sh. bil 1
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda leo amewakabidhi rasmi uongozi wa chama cha Ushirika Nyanza (Nyanza Cooperative Union Limited) N.C.U akaunti Maalum maarufu kama
Watanzania watakiwa kuuthamini Muungano
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akizungumza kabla ya kuzindua Nembo na kaulimbiu ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Jijini Dododma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
Mawaziri watakiwa kujibu hoja ripoti ya CAG
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka mawaziri kujibu hoja zilizoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
Sonko Waziri mkuu Senegal
Rais mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemteua kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Osmane Sonko kuwa waziri mkuu ikiwa ni uteuzi wake
Sekta ya afya kuvutia mataifa ya nje.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema sekta ya afya imekua kwa kiwango kikubwa ndani ya miaka miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan kiasi cha