WANAWAKE JITOKEZENI KUGOMBEA-MUDOGO

Wakati nchi ikielekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, wanawake wametaakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali na kutoogopa vitisho vya wanaume.

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Nchi, ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019, wanawake waliogombea walikuwa asilimia 33 ya wagombea wote.

Wito huo wa diwani wa kata ya Nyegezi, Edith Emily Mudogo umekuja kutokana na idadi ndogo ya wanawake ambao wamekuwa wakijitokeza katika chaguzi zilizopita kwa kuhofia udhalilishaji,

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *