WANASIASA WATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA STAHA
Ikiwa mtu yoyote atatumia lugha isiyo Rafiki kwenye uchaguzi ataadhibiwa kwa mujibu ya sheria. Hayo yamebainishwa na wakili wa kujitegemea, Kanani Chombani akizungumza na afya redio akiwataka wanasiasa kutumia kanuni za maadili kwa kufuata sheria za uchaguzi na sheria za nchi. Amesema ikiwa mgombea atanyanyaswa kijinsia, anatakiwa kufuata utaratibu ili muhusika achukuliwe hatua kwa mujibu […]
WANASIASA WATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA STAHA Read More »