Eneless

MTOTO WAKIKE KUWA HAKIMU INAWEZEKANA-NDOSI

Wazazi wametakiwa kuwashika mkono Watoto wa kike katika safari ya masomo ili kutimiza malengo yao. Wito huo umetolewa na Hakimu Witness Ndoss wakati akizungumza na afya radio juu ya changamoto zinazo wakabili Watoto wakiki pindi wanapochagua kusomea masomo yanayo yafanya kufikia kuwa hakimu. Amesema vijana wakike wanashindwa kufikia ndoto zao kutokana na kukosa kuungwa mkono […]

MTOTO WAKIKE KUWA HAKIMU INAWEZEKANA-NDOSI Read More »

ZINGATIENI USAWA -NURU

Waandishi wa Habari wa Afya Radio wametakiwa kuzingatia usawa wa kijinsia katika kuandaa maudhui yao. Mkufunzi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza (SAUT) Nuru Chuo amesema hayo wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi hao kuhusiana na maswala ya kijinsia katika uandaaji wa maudhui. Kwa upande wake Mhariri Mkuu wa Afya Radio Feliciana Manyanda

ZINGATIENI USAWA -NURU Read More »