Our Latest Blogs
The Featured Blog Posts
VIJANA ACHENI TAMAA YA MALI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewataka Vijana kutoka Vyuo Vikuu na vya Kati Mkoani humo kuacha tamaa ya mali ambzo hawana uwezo nayo
Matumizi holela ya dawa sababu usugu wa vimelea
Matumizi ya dawa kiholela ni sababu ya usugu wa vimelea vya magonjwa na kupelekea vifo na kupoteza nguvu kazi ya Taifa. Akizungumza na Afya Radio
“BENKI YA SAMPULI ZA WANYAMAPORI KATIKA UHIFADHI ENDELEVU”
Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kupitia Sehemu ya Sayansi ya Tiba na Maabara ya Wanyamapori imebainisha benki za sampuli za kibaolojia katika maabara,
VIPI TUNAWEZA DHIBITI RUSHWA YA NGONO?
Rushwa ni ukosefu wa uaminifu ambao hufanywa na mtu,Watu au shirika lililopewa Dhamana ya kuongoza watu, kutumia njia hiyo ili kujipatia faida isiyo halali. Katika
NINI KITATOKEA UKIMPENDELEA MTOTO MMOJA?
Binadamu mara zote anazo hatua anazopitia katika makuzi yake. Hii ni pamoja na ile ya kuanzia pale anapozaliwa akiwa na umri wa siku sifuri na
“WAZAZI ZINGATIENI USAWA KATIKA MALEZI”
Wazazi na walezi wanatakiwa kuhakikisha wanatekeleza jukumu la msingi la kulea watoto kwa kuzingatia usawa wa kijinsia bila kuathiri mila na desturi. Jamii ina mchango