ACHENI KUWAKIMBIA WAKINA MAMA
Wazazi wa kiume wametakiwa kuwajali Watoto wenye ulemavu wa ngozi kwa kuhakikisha wanapata elimu bora. Rai hiyo imetolewa na Mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Mitindo iliyopo Jijini Mwanza ambayo pia inahudumia watoto wenye ulemavu wa ngozi Mwl. Januari Gunze. Mwl. Gunze amesema wamekuwa wakipokea watoto kutoka kwa wakinamama ambao wameachiwa majukumu ya kuwalea watoto …