MTOTO WAKIKE KUWA HAKIMU INAWEZEKANA-NDOSI
Wazazi wametakiwa kuwashika mkono Watoto wa kike katika safari ya masomo ili kutimiza malengo yao. Wito huo umetolewa na Hakimu Witness Ndoss wakati akizungumza na afya radio juu ya changamoto zinazo wakabili Watoto wakiki pindi wanapochagua kusomea masomo yanayo yafanya kufikia kuwa hakimu. Amesema vijana wakike wanashindwa kufikia ndoto zao kutokana na kukosa kuungwa mkono […]
MTOTO WAKIKE KUWA HAKIMU INAWEZEKANA-NDOSI Read More »