IPO HAJA KUONGEZA RASILIMALI AFYA VIJIJINI

Wanawake mijini wana upatikanaji rahisi wa huduma za afya, elimu, na msaada wa kijamii, ambayo inawasaidia kufanya maamuzi bora kuhusu afya zao na za watoto wao.


Hali hiyo inaonyesha umuhimu wa kuongeza rasilimali na kuimarisha huduma kwenye maeneo ya vijijini hivyo kupunguza pengo hilo ni muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.


Charles Fabian amezengumza na daktari wa afya ya uzazi kufahamu kuna tofauti ygani ya huduma zinazotolewa kwa wanawake wa mijini na vijijini kwenye klinik ya baba, mama na mtoto?

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *