PENGO LA JINSIA KIDIJITALI HUATHIRI UWEZO WA WANAWAKE KITEKOLOJIA.

Pengo la jinsia kidijitali huathiri ufikiaji na uwezo wa wanawake kutumia teknolojia za kidijitali, zikiwemo simu, mitandao ya kijamii na intaneti.

Tatizo hili pia linaongeza ukosefu wa usawa uliopo, ikiwa ni pamoja na umaskini, elimu, na upatikanaji wa kijiografia.


Kwa vizazi, kanuni za kijamii zimewateua wanaume kuwajibika kwa nyanja za kiteknolojia za maisha ya kila siku na kuwaweka wanawake wengi kwa majukumu ya nyumbani yasiyo ya kiteknolojia.


Huyu hapa ni Mkufunzi na mshauri wa masuala ya uchumi kwa mfumo wa kidigitali, Juma Makungu anaelezea ujuzi wa digitali kwa jinsia zote una usawa kwa kiasi gani kwenye jamii.

Sauti ya Makungu

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *