Madereva 16 wafungiwa leseni
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Wilbrod Mutafugwa amesema Madereva 16 wamefungiwa leseni kwa kipindi cha miezi Sita kwa Mwaka 2024. Akitoa Taarifa kwa waandishi wa habari Kamanda Mutafungwa amesema Makosa 15,307 ya Barabarani yamekamatwa kwa kipindi cha tarehe 1, hadi tarehe 30,12,2024 ikilinganishwa na Makosa 13921 yaliyokamatwa kipindi cha […]
Madereva 16 wafungiwa leseni Read More ยป