“BENKI YA SAMPULI ZA WANYAMAPORI KATIKA UHIFADHI ENDELEVU”
Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kupitia Sehemu ya Sayansi ya Tiba na Maabara ya Wanyamapori imebainisha benki za sampuli za kibaolojia katika maabara, zinasaidia kupata taarifa za uchunguzi wa kisayansi zinazotumika katika uhifadhi endelevu wa wanyamapori hapa nchini . Akizungumza wakati wa zoezi la kuchakata na kuhifadhi sampuli hizo na taarifa zake, mtaalamu […]
“BENKI YA SAMPULI ZA WANYAMAPORI KATIKA UHIFADHI ENDELEVU” Read More ยป