UBAGUZI KWENYE FAMILIA CHANZO CHA UKIMWI
Katibu wa Baraza la Watu wanaoishi na virusi vya ukimwi (VVU) NAKOPHA Konga Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza Joseph Kiharata ameitaka jamii kuweka usawa katika familia ili kuwaepusha wanawake na maambukizi ya Virusi vya ukimwi. Kiharata amesema ubaguzi katika familia hasa wa kiuchumi unaweza kusababisha wanawake kupata maambukizi ya VVU. ”Moja ya sababu ambayo inaweza …