VIPI TUNAWEZA DHIBITI RUSHWA YA NGONO?
Rushwa ni ukosefu wa uaminifu ambao hufanywa na mtu,Watu au shirika lililopewa Dhamana ya kuongoza watu, kutumia njia hiyo ili kujipatia faida isiyo halali. Katika miaka hivi karibuni imekuwa si kitu cha ajabu kwa baadhi ya watu kuomba au kutoa ngono ili aweze kutimiza au kutimiziwa jambo Fulani. Kitendo hiki kwa mujibu wa sheria ya […]
VIPI TUNAWEZA DHIBITI RUSHWA YA NGONO? Read More »