ULAJI USIOULAJI USIO FAA CHANZO CHAMAGONJWA YASIYO AMBUKIZA.

Jamii imesisitizwa kufuata kanuni bora za ulaji ili kujiepusha na magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Figo.

Daktari Bingwa wa Magonjwa yasiyo ambukiza Doktari Samson Mongomongo ameitaka jamii kupunguza matumizi ya mafuta, ulaji wa protini, na badala yake kula vyakula vya nyuzinyuzi na kufanya mazoezi ilikupunguza uwezekano wa kupata magonjwa hayo.

Amesema ugonjwa wa Figo mara nyigi huwapata watu wenye matatizo ya shinikizo la damu pamoja na Matatizo ya kisukari ambayo husababishwa na matokeo ya ulaji usio faa.

Ameitaka jamii kutumia vyakula vya asili na kuacha kutumia vyakula vya viwandani ili kuimarisha afya.

Amesema

Tufuatilie @afyafm

.
.
.#figo #kileunachopenda

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *