“WAZAZI ZINGATIENI USAWA KATIKA MALEZI”

Wazazi na walezi wanatakiwa kuhakikisha wanatekeleza jukumu la msingi la kulea watoto kwa kuzingatia usawa wa kijinsia bila kuathiri mila na desturi.


Jamii ina mchango mkubwa sana katika kumuandaa mtoto wa kike kuwa kiongozi wa baadaye, na hili haliishii tu nyumbani. Walimu pia wana nafasi ya kumuandaa mtoto wa kike kuwa kiongozi wa baadaye.


Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake wanafanya vizuri katika nafasi za uongozi kutokana na kwamba ni watu wa kutimiza ahadi, ni watu wa kujitolea, si wapenda rushwa, wana heshimu usawa, jinsia na ni waadilifu.


Ufuatao ni mjadala mfupi ulioongozwa na Esther Baraka baina ya wasichana na mwalimu wao kujua Nini kifanyike kwa wazazi na walezi kuwasaidia mabinti zao kuwa viongozi.

1 thought on ““WAZAZI ZINGATIENI USAWA KATIKA MALEZI””

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *