VIPI TUNAWEZA DHIBITI RUSHWA YA NGONO?

Rushwa ni ukosefu wa uaminifu ambao hufanywa na mtu,Watu au shirika lililopewa Dhamana ya kuongoza watu, kutumia njia hiyo ili kujipatia faida isiyo halali.

Katika miaka hivi karibuni imekuwa si kitu cha ajabu kwa baadhi ya watu kuomba au kutoa ngono ili aweze kutimiza au kutimiziwa jambo Fulani.

Kitendo hiki kwa mujibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa na.11/2007 kinatamkwa kuwa ni rushwa ya ngono.

Esther Baraka amezungumza na mwanasheria kutoka jiji la Mwanza, Norbet John kufahamu Sheria inasemaje kuhusu Rushwa ya Ngono makazini.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *