Eneless

ZINGATIENI USAWA -NURU

Waandishi wa Habari wa Afya Radio wametakiwa kuzingatia usawa wa kijinsia katika kuandaa maudhui yao. Mkufunzi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza (SAUT) Nuru Chuo amesema hayo wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi hao kuhusiana na maswala ya kijinsia katika uandaaji wa maudhui. Kwa upande wake Mhariri Mkuu wa Afya Radio Feliciana Manyanda …

ZINGATIENI USAWA -NURU Read More »

UBAGUZI KWENYE FAMILIA CHANZO CHA UKIMWI

Katibu wa Baraza la Watu wanaoishi na virusi vya ukimwi (VVU) NAKOPHA Konga Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza Joseph Kiharata ameitaka jamii kuweka usawa katika familia ili kuwaepusha wanawake na maambukizi ya Virusi vya ukimwi. Kiharata amesema ubaguzi katika familia hasa wa kiuchumi unaweza kusababisha wanawake kupata maambukizi ya VVU. ”Moja ya sababu ambayo inaweza …

UBAGUZI KWENYE FAMILIA CHANZO CHA UKIMWI Read More »