News

“BENKI YA SAMPULI ZA WANYAMAPORI KATIKA UHIFADHI ENDELEVU”

Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kupitia Sehemu ya Sayansi ya Tiba na Maabara ya Wanyamapori imebainisha benki za sampuli za kibaolojia katika maabara, zinasaidia kupata taarifa za uchunguzi wa kisayansi zinazotumika katika uhifadhi endelevu wa wanyamapori hapa nchini . Akizungumza wakati wa zoezi la kuchakata na kuhifadhi sampuli hizo na taarifa zake, mtaalamu

“BENKI YA SAMPULI ZA WANYAMAPORI KATIKA UHIFADHI ENDELEVU” Read More »

WANASIASA WATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA STAHA

Ikiwa mtu yoyote atatumia lugha isiyo Rafiki kwenye uchaguzi ataadhibiwa kwa mujibu ya sheria. Hayo yamebainishwa na wakili wa kujitegemea, Kanani Chombani akizungumza na afya redio akiwataka wanasiasa kutumia kanuni za maadili kwa kufuata sheria za uchaguzi na sheria za nchi. Amesema ikiwa mgombea atanyanyaswa kijinsia, anatakiwa kufuata utaratibu ili muhusika achukuliwe hatua kwa mujibu

WANASIASA WATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA STAHA Read More »

WANAWAKE WALIOJITOSA UONGOZI WALIA NA MITANDAO

Baadhi ya wanawake waliojitosa kuwania uongozi wa kisiasa, wamesema wamekumbana na udhalilishaji mtandaoni, wakiitaja mitandao ya kijamii kuwa sumu kwa wanawake kisiasa. Wakina mama hao wamesisitiza kuwa aina hiyo ya udhalilishaji ni miongoni mwa mambo yanayorudisha nyuma mikakati ya kitaifa inayolenga kufikia usawa wa kijinsia katika siasa. Takwimu rasmi za kiserikali zinaonesha kundi hilo bado

WANAWAKE WALIOJITOSA UONGOZI WALIA NA MITANDAO Read More »